Pata Ushauri Juu Ya Changamoto Zote aina Ya Vyakula na Jinsi Ya kuishi ili kuepuka Mgonjwa Mbali Mbali
Posts
AFYA TALK
FURSA YA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO WA TSH 150,000/=
- Get link
- X
- Other Apps
Usiendelee kutafuta kazi Kwa Mtaji Mdogo Tu Wa Tsh 150,000/= Unaweza kumilik Biashara Kubwa njoo Utajifunza Jinsi utakavyo milik Biashara Kubwa ya kimataifa na Yenye faida kubwa pia , Jiulize hili Swali Je ? ni Biashara gani Unaweza kumilik Kwa Mtaji WA Tsh 150,000/= kama unaisi ipo anzisha kama umekosa jibu na upo Arusha fika ofisni utafunzwa Bure ukielewa una anza kazi au Tupigie Kwa 0765 163 943 Ratiba Ya Madarasa Kila Juma pili saa 15:00 Mchana J3-J5 Saa 10:30 Maalii ni Condo Hotels Kumbuka hulipii hata Mia Unafunzwa tu ukielewa unaanza Biashara Tupigie au Kwa 0765 163 943 Au Chat Na WhatsApp
TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE BILA UPASUAJII
- Get link
- X
- Other Apps
TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE BILA UPASUAJII *BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE* Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa *CHANZO CHA BAWASIRI* 1. Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva 2. Tatizo sugu la kuharisha 3. Ujauzito 4.Uzito wa mwili kupita kiasi 5. Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa) 6. Kupata haja kubwa ngumu 7. Kua na mgandamizo mkubwa tumboni 8. Kunywa pombe 9. Kula sana nyama nyekundu 10. Vidonda vya tumbo 10. Kunyanyua vitu vizito *DALILI ZA BAWASIRI* 1 Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa 2 Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa 3 Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa 4 Kupata kinyesi chenye damu 5 Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa 6 kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa 7 Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mish...
UJUE UGONJWA WA P.I.D NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE
- Get link
- X
- Other Apps
UJUE UGONJWA WA P.I.D NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE PID( Pelvic Inflammatory Disease) Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS) Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D 1.Kupitia ngono zembe 2.Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja 3.Kufanya mapenzi bila kutumia kinga 4.Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono 5.Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara 6.Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba 7.Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako 8.Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano) 9.Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu DALILI ZA P.I.D 1.Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa 2.Uke kutoa harufu...