UJUE UGONJWA WA P.I.D NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE

 UJUE UGONJWA WA P.I.D NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE



  PID( Pelvic Inflammatory Disease)

 Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS) 


 Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC


WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D

 

1.Kupitia ngono zembe


2.Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja


3.Kufanya mapenzi bila kutumia kinga


4.Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono


5.Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara


6.Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba


7.Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako


8.Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano)


9.Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu


DALILI ZA P.I.D


1.Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa


2.Uke kutoa harufu mbaya 


3.Kuwashwa sehemu za siri


4.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu


5.Uke kuwa mlaini sana


6.Maumivu wakati wa tendo la ndoa


7.Kuvurugika kwa hedhi


8.Kutokwa na maji maji ukeni kupita kiasi


9.Maumivu wakati wa kukojoa


10.Homa, uchovu na kizunguzungu


MADHARA YA UGONJWA WA P.I.D 


1 Maumivu ya tumbo au nyonga ya mara kwa mara mara baada ya tendo la ndoa. au kipindi cha upevushaji mayai hali hii hutokana na majeraha yaliyopi katika mirija ya uzazi


2.Kusababisha majeraha ndani na nje ya mirija za uzazi ambayo hipelekea mirija kuziba


3.Kubeba mimba nje ya kizazi husababishwa yai kushindwa kufika kwenywe mji wa uzazi kupitia mirija ya uzazi 


4.Ugumba kwa mwanamke


5.kupata kansa ya shingo ya uzazi 


JINSI YA KUEPUKANA NA P.I.D


Japo kuwepo na tiba za kujitibu lakini unashauriwa kinga ni bora kuliko tiba hivyo zingatia yafuatayo;-


1.Epuka kufanya ngono zembe


2.Usifanye mapenzi baada ya kujifungua au mimba kutoka


3.Weka tabia ya kufanya vipimo mara kwa mara


4.Kuwa msafi na nguo zako za ndani na kula lishe bora


5.Epuka kushare nguo za ndani


TIBA YAKE 


  Ugonjwa wa P.I.D unatibika 0710163943

Comments

Popular posts from this blog

UGONJWA WA GOUT NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA

FURSA YA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO WA TSH 150,000/=