Pata Ushauri Juu Ya Changamoto Zote aina Ya Vyakula na Jinsi Ya kuishi ili kuepuka Mgonjwa Mbali Mbali
Posts
Showing posts with the label MFUMO WA UZAZI
UJUE UGONJWA WA P.I.D NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE
- Get link
- X
- Other Apps
UJUE UGONJWA WA P.I.D NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE PID( Pelvic Inflammatory Disease) Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS) Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D 1.Kupitia ngono zembe 2.Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja 3.Kufanya mapenzi bila kutumia kinga 4.Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono 5.Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara 6.Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba 7.Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako 8.Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano) 9.Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu DALILI ZA P.I.D 1.Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa 2.Uke kutoa harufu...
DALILI ZA KUVIMBA KWA VIFUKO VYA MAYAI YA UZAZI (OVARIAN CYST
- Get link
- X
- Other Apps
DALILI ZA KUVIMBA KWA VIFUKO VYA MAYAI YA UZAZI (OVARIAN CYST ) Uvimbe kwenye vifuko vya mayai ya mwanamke (ovary), hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanayozungukwa na kuta nyembamba ndani ya vifuko vya mayai ya mwanamke. Uvimbe huu hutokea kwa wanawake wa umri wowote ule na mara nyingi huonekana kwa wanawake waliofikia kikomo cha umri wa kupata ujauzito. Sababu/ Mambo hatarishi yanayopelekea vimbe katika vifuko vya mayai: . . ➢ Matatizo ya homoni hali hii hutokana na matumizi ya vidonge vinavyotumiwa kwa ajili ya kupevusha mayai bila ushauri wa daktari. . . ➢ Ujauzito wakati mwingine uvimbe unaojitokeza huweza kukaa kwa kipindi cha ujauzito. . . ➢ Endometriosis hii huwa ni hali inayosababisha seli za ukuta wa tumbo la kizazi kuota nje ya kifuko chako cha kizazi. Baadhi ya tishu zinaweza kushikamana na vifuko vyako vya mayai na kutengeneza uvimbe. . . ➢ Kutotibu maambukizi katika mfumo wa uzazi na mkojo kama maambukizi ya bakteria kama vile UTI, fangasi, magonjwa ya zinaa kama...
✍️HIZI NI DALILI 8 ZINAZOENYESHA UMEPUNGUKIWA NA NGUVU ZA KIUME
- Get link
- X
- Other Apps
MWANAUME,😭😭😭 BONYEZA HAPA ✍️HIZI NI DALILI 8 ZINAZOENYESHA UMEPUNGUKIWA NA NGUVU ZA KIUME . 1) Ukienda safari moja mwili wachoka alafu unahisi usingizi. (2) Sehemu za siri zinasinyaa taratibu baada ya goli la Kwanza. 3) Mwili unahisi ganzi pamoja Na sehemu nyeti. 4) Hamu inakata gafla baada ya kutoa manii ( semens) 5) Nyeti zinasimama vizuri lakini ukitaka kuingiza Kwa mwanamke zinasinyaa. Hapa wengi hudhani wamerogwa. 6) Ukishindwa kurudia mara ya pili baada ya goli la Kwanza. Machine inakata moto haisimami tena hata ufanyeje inazidi kulala. 7) Machine kulala ndani ya nyeti za mwanamke wakati upo katikati ya mechi, mzigo unalala gafla Na kulegea ndani Kwa ndani. 8) Uume hurudi ndani na kuwa kama wa mtoto PATA SURUHISHO LA TATIZO HILO SASA KWA TIBA ILOYO BORA ZAIDI NA YA UHAKIKA ✍️KWA MAWASILINO Zaid+255710 163 943 Au BONYEZA HAPA AU TUMA UJUMBE SMS KWA NAMBA HIZO
FAHAMU KUUSU NGUVU ZA KIUME
- Get link
- X
- Other Apps
FAHAMU KUHUSU NGUVU ZA KIUME wasiliana nasi Kwa ushauri zaidi wa.me/255765163943 Vyanzo Vipo Vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na; ✍️Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo ✍️Kuvuta sigala na unywaji wa pombe ✍️Uzito kupita kiasi na unene uliozidi ✍️Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi ✍️Kisukari ✍️Kuwa na mawazo na wasiwasi ✍️Matumizi ya madawa mbalimbali ✍️Umri hasa wazee ✍️Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili ✍️Kuwa na tatizo la kibofu ✍️Tabia za kujichua kwa mda mrefu ✍️Kutopata usingizi kamili ✍️Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ✍️Kuwahi kufika kileleni ...
𝗝𝗜𝗡𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗔𝗧𝗔 𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗘 𝗔𝗨 𝗪𝗔𝗞𝗜𝗨𝗠𝗘
- Get link
- X
- Other Apps
*MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KUAMUA JINSIA* 1.Lazima mwanamke ajue mzunguko wake (menstrual cycle)siku ya 1-28 2.Lazima mzunguko wako uwe na mpangilio sahihi(unaweza ukachunguza mzunguko wako kwa miezi minne mfululizo) 3.PH ya uke lazima iwe kiwango sahihi 4-5.5(PH)inayotakiwa iwe 4.Ushirikiano kati ya mwanamke na mwanaume Wakati wa tendo. JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME Ili uweze kupata mtoto wa kiume kisayansi unashauriwa kushiriki tendo la ndoa siku ambayo yai litakuwa limetoka kama mzunguko siku 28 na uko sahihi ni siku ya 14 Njia nyingine ya kujua yai limetoka baba anaingiza vidole viwili ukeni wakati wa asubuhi na ukikut a uteute ujue yai limetoka kwahiyo jioni mnashiriki tendo la ndoa kwa ajili ya kupata mtoto wa kiume KWANINI USHIRIKI TENDO LA NDOA WAKATI YAI LIMETOKA ILI KUPATA MTOTO WA KIUME? Kisayansi chromosome Y ambayo inahusika katika kutunga mimba ya mtoto wa kiume ina spidi kubwa sana ni nyepesi na haiwezi kuishi mda mrefu kwahiyo ukishiriki tendo la ndoa...
𝗝𝗘 𝗕𝗔𝗗𝗢 𝗛𝗨𝗝𝗔𝗜𝗧𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗠𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗡𝗔𝗣𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗞𝗨𝗔 𝗠𝗔𝗠𝗔
- Get link
- X
- Other Apps
Embu Niambie, Utajisikiaje na wewe ukaitwa mama flani? Au kuongeza Mtoto mwingine🤰🏽🤱🥰 Furaha yangu DrThabith, ni kuona Kila Mwanamke Ni MAMA🤱, Bado nahitaji kupokea shuhuda zaidi ya 5000+ Mwaka huu PEKEE. Una nafasi ya kuwa mmoja wapo, Lakini huenda labda Wewe ndiye Huyu?!👇🏾 ✅ Imeshindikana Kabisa kubeba Ujauzito. ✅ Unatokwa na uchafu, harufu mbaya sehemu za Siri. ✅ Mzunguko wako wa hedhi haueleweki Tena. ✅ Unasumbuliwa P.I.D Fangasi, na U.T.I sugu. ✅ Unahisi Maumivu Makali wakati wa Tendo la Ndoa au kukosa hamu ya tendo Kabisa. ✅ Maumivu wakati wa kukojoa. ✅ Kiuno kuuma Sana wakati wa hedhi. ✅ Maumivu chini ya kitovu. ✅ Nimepima vipimo vyote vya Uzazi sina Tatizo lolote lakini sipati Mimba! ✅ Unahisi Maumivu wakati wa tendo la Ndoa, Ukeni panakuwa pakavu Sana. ✅ Mimba kuharibika mara kwa mara kabla ya muda wa kujifungua Usijali Kabisa, HABARI YAKO NJEMA HII HAPA👇🏾 ▶️ Uzazi Special Offer:- Hii ni special offer maalumu kwako mwanamke/ Dada, Unayeangaika N...
UNAJUA KWA NINI UPATA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA HEDHI
- Get link
- X
- Other Apps
Ok sawa hii hali ya kuuma tumbo wakati wa hedhi Kuna magonjwa baadhii ambayo 1.Endometriosis Hii ni hali ambayo seli za ndani ya mfuko wa kizazi huanza kutoka nje ya mfuko wa hilo au hata sehemu zinginezo 2. Adenomyosis Huu ni Ugonjwa wa wanawake ambapo tezi au vimbe(tumors)zinaota katika mfuko wa uzazi Huenda akawa ana PID au Ugonjwa wa vimbe katika nyonga maana ndio husababisha maumivu ya tumbo wakati wa hedhi ngoja tuone dalili gani PID 1.maumivu chini ya kitovu huchanganyikana na maumivu ya chini ya mgongo mda mwingine japo sio sana husambaa mpaka mapajani 2.kujihisi kutapika,kichefuchefu 3.kutokwa na jasho wakati wa usiku 4.kupata choo laini/kuharisha ilaa Mara nyingi Kupata choo kigumu Sana au kukosa kabisa 5.kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi/siku kupishana pisha Ushauri anatakiwa aende hospital akamuone daktar wa vipimo ampime halafu aje na matokeo kutoka kwa daktari tumpatie...
APONA P. I.D BAADA YA KUTESEKA MIAKA MINGI
- Get link
- X
- Other Apps
UJUE UGONJWA WA PID DALILI MADHARA NA TIBA YAKE P I D (Pelvic Inflammatory Diseases) Dalili za PID zinatofautiana kwa mtu mmoja hadi mwingine. Kwa baadhi ya wanawake dalili huwa mbaya na kwa wengine dalili huwa za kawaida, wakati mwingine wanawake hukaa na ugonjwa kwa muda mrefu bila kujua kutokana na kuchanganya dalili na magonjwa mengine. DALILI ZA PID 1.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ambayo yanaweza kuwa upande mmmoja au pande zote kulia na kushoto 2.Sehemu za uke kuwa na ulaini sana 3.Kupata maumivu wakati watendo la ndoa wakati mwingine kupeleekea kuvuja damu wakati na baada ya tendo la ndoa na hivo kukosa tena hamu ya tendo la ndoa 4.Kuvurugika kwa hedhi 5.Kutokwa na majimaji ukeni kusiko kawaida hasa yenye rangi ya njano na kijani 6.Maumivu wakati wa kukojoa Kupata maumivu wakati wa choo 7.Kupata damu Mara baada ye tendon au wakati wa tendo 8.Homa kichefu chefu na nk MADAHRA YA PID Maambukizi kwenye njia ya uzazi husababisha athari kubwa sana kwa mwanamke, 1.M...
ZIJUE BAADHI YA DALILI ZA U. T. I NA TIBA YAKE
- Get link
- X
- Other Apps
𝗭𝗜𝗝𝗨𝗘 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗨.𝗧.𝗜 𝗡𝗔 𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗞𝗘 🔵Kujisikia kukojoa muda wote (𝗸𝘂𝗸𝗼𝗷𝗼𝗮 𝗠𝗮𝗿𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗠𝗮𝗿𝗮) 🔵kuchoka sanaa 🔵Mkojo kutoa harufu 🔵Mkojo wa rangi 🔵Homa Kali 🔵kichefuchefu 🔵kutapika 𝗠𝗮𝗿𝗮 𝘂𝗼𝗻𝗮𝗽𝗼 𝗱𝗮𝗹𝗶𝗹𝗶 𝗵𝗶𝘇𝗶 𝘄𝗮𝗶 𝘁𝗶𝗯𝗮 𝗺𝗮𝗽𝗲𝗺𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝗶 𝗺𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗲 𝗻𝗶 𝗺𝗮𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗺𝗻𝗼 𝗪𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮𝘀𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗧𝗶𝗯𝗮 𝗻𝗮 𝗨𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝗽𝗶𝗴𝗮 : 0765 163 943 0710 163 943
BAADHI YA DALILI ZA HORMONES IMBALANCE NA TIBA YAKE
- Get link
- X
- Other Apps
B AADHI YA DALILI ZA HORMONE IMBALANCE (mvurugiko wa vichocheo) 🔵ukavu ukeni 🔵Maumivu wakati wa tendo la ndoa 🔵Kutoa jasho jingi usiku 🔵Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi 🔵Kukosa hamu kabisa ya tendo la ndoa 🔵Hedhi isiyo na mpangilio na n.k 🔥Kama una dalili kati ya hizo chukuwa hatua sasa 🔴Wasiliana nasi upate Ushauri Zaidi na tiba 🔴Kwanini unateseka na tatizo linalodhibitika? Wasiliana nasi kwa Ushauri na Tiba 0710 163 943 0765 163 943
ZIJUE BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI NA TIBA YAKE
- Get link
- X
- Other Apps
BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI ▶️kuwashwa sehemu za siri ▶️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa ▶️Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri ▶️Kupata vidonda ▶️Kupata michubuko ukeni ▶️Maumivu wakati wa kukojoa ▶️Kutokwa na uchafu wa rangi mweupe ukeni usio wa kawaida ▶️Mdomo wa uke kuvimba na kuwa na rangi nyekundu Wasiliana nasi Kwa 0710 163 943 0765 163 943
USIOGOPE SASA TEZI DUME INATIBIKA BILA UPASUAJI
- Get link
- X
- Other Apps
#USHAURINATIBAJUUYATEZIDUME #TEZIDUME TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE Tezi dume hii kitaalamu hufahamika kama (PROSTATE GLAND) - Hii ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume. Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo. Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume. Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele. Hivyo tezi hii ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume. Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda. DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:- • Kukojoa Mara kwa mara. • kubakiza mkojo kwenye kibofu. • kukojoa saana usiku. • Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali. • Kupungukiwa nguvu za kiume • UTI ya Mara kwa mara. • Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo. • Figo kujaa maji, hii ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo. • Kupoteza fahamu. •Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ...
SULUISHO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
- Get link
- X
- Other Apps
MADHARA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA TIBA YAKE Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. Tatizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba. CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na; 1.Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo 2.Kuvuta sigala na unywaji wa pombe 3.Uzito kupita kiasi na unene uliozidi 4.Ulaji ho...
𝙏𝙄𝘽𝘼 𝙔𝘼 𝙏𝙀𝙕𝙄 𝘿𝙐𝙈𝙀 𝙉𝙄 𝙉𝙄𝙉𝙄 𝘿𝘼𝙇𝙄𝙇𝙄 𝙈𝘼𝘿𝙃𝘼𝙍𝘼 𝙉𝘼 𝙏𝙄𝘽𝘼 𝙔𝘼𝙆𝙀
- Get link
- X
- Other Apps
#Tezidumenini IJUE TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE BILA UPASUAJI Tezi dume ni moja ya tezi ya uzazi ya kiume ambayo kila mwanaume anayo, tezi hii lipo chini ya kibofu cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume. *NOTE:Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nayo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au Saratani.* Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume. •Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis). •Kukua kwa tezi dume ambayo sio Saratani (Benign Prostatic Hypertrophy-BPH). •Saratani ya tezi dume. *KAZI YA TEZI DUME* •Kutoa majimaji anayochanganyika na mbegu za kiume (sperms) kutengeneza manii (semen). *SARATANI YA TEZI DUME* Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vitokanavyo na saratani kwa wanaume duniani. Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 40 na kuendelea. *VISABABISHI VYA SARATANI YA TEZI DUME* Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikan...
MADHARA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA TIBA YAKE
- Get link
- X
- Other Apps
MADHARA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA TIBA YAKE Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. Tatizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba. CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na; 1.Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo 2.Kuvuta sigala na unywaji wa pombe 3.Uzito kupita kiasi na unene uliozidi 4.Ulaji ho...
DALILI NA TIBA YA MADHARA YA UZAZI WA MPANGO
- Get link
- X
- Other Apps
🔴 *MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA* 👉🏻Usumbufu wa hedhi 👉🏻Kuumwa kichwa mara mara 👉🏻Kizunguzungu 👉🏻Kichefuchefu 👉🏻Kuongezeka uzito usiokuwa na faida 👉🏻Kupunguza hamu ya tendo la ndoa 👉🏻Kusababisha Uvimbe kwenye kizazi (fibroids) 🔴 *MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA* 👉🏻Huathiri fuko la uzazi kwa ndani na kusababisha uvimbe 👉🏻Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga 👉🏻Kuumwa kichwa mara mara 👉🏻Kupata kichefuchefu 👉🏻Kutopata hedhi kwa baadhi ya wanawake 👉🏻Kubadilisha mwenendo wa damu 👉🏻Kuliathiri ini kidogo kidogo 👉🏻Kupata kisukari 👉🏻Kupata ugonjwa wa moyo 👉🏻Kupooza upande mmoja wa mwili. 👉🏻Kupunguza hamu ya tendo la ndoa *🔴MADHARA YA KIJITI* 👉🏻Husababisha saratani za aina mbali mbali 👉Kuchanganyikiwa kiakili 👉🏻Shinikizo la damu 👉🏻Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa. 👉🏻Kusababisha ukavu uliopitiliza kwenye uke hivyo kusababisha vidonda 👉🏻Kupunguza kwa kasi kubwa hamu ya tendo la ndoa *🔴MA...
DALILI ZA FANGASI UKENI NA TIBA YAKE
- Get link
- X
- Other Apps
* DALILI ZA FANGASI UKENI * 1. Kuwa shwa sehemu za siri 2. Kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana (superficial dysapareunia) 3. Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation) 4. Kupata vidonda ukeni (soreness) 5. Kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (labia minora) 6. Kupata maumivu wakati wa kukojoa 7. Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mwepesi au mzito, uchafu huu unakua kama maziwa yaliyoganda na hauna harufu kali 8. Kutokwa na harufu kali baada ya kushiriki tendo la ndoa 9. Kuchafua chupi mara kwa mara. Wasiliana nami 🤳 kupata huduma hii acha wa.me/255765163943
HORMONES IMBALANCE DALILI MADHARA NA TIBA
- Get link
- X
- Other Apps
HOMON IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)CHANZO KIKUBWA KUKOSA MTOTO Chanzo, Dalili, Madhara na TIBA WhatSap/Call +wa.me/255765163943 Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN Hivyo kupelekea wanawake wengi kushindwa kunasa mimba VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HORMONE 👉Utoaji wa mimba 👉Uwepo wa sumu mwilini. 👉kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha. 👉Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone 👉mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa. 👉uzito mkubwa 👉Msongo wa mawazo. 👉UTI Sugu, Fangasi na PID 👉Kutofanya mazoezi. 👉Matumizi ya kisasa ya uzazi wa mpango Dawa au vipandikizi vya uzazi wa mpango hutoa homone inaitwa Patroid amabayo huziba mirija ya fallopian na kuzorotesha mayai hivyo hupelekea homone za uzazi kutokuwa na uwiano pH wakati mwingine unajikuta unakosa Ute wa uzazi hamu ya mapenzi au tendo la ndoa kupotea, mvurugiko wa Hedhi , hedhi isiyoeleweka, maambukizi...