FAHAMU KUUSU NGUVU ZA KIUME
FAHAMU KUHUSU NGUVU ZA KIUME
wasiliana nasi Kwa ushauri zaidi
wa.me/255765163943
Vyanzo Vipo Vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;
✍️Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
✍️Kuvuta sigala na unywaji wa pombe
✍️Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
✍️Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
✍️Kisukari
✍️Kuwa na mawazo na wasiwasi
✍️Matumizi ya madawa mbalimbali
✍️Umri hasa wazee
✍️Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili
✍️Kuwa na tatizo la kibofu
✍️Tabia za kujichua kwa mda mrefu
✍️Kutopata usingizi kamili
✍️Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine
DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
✍️Kuwahi kufika kileleni
✍️Kukosa hamu ya mapenzi
✍️Kushindwa kurudia tendo la ndoa
✍️Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha
✍️Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
✍️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
✍️Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
✍️Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji
TIBA NZURI NI ILE ITAKAYO KUSAIDIA;
πKuondoa tatizo la Kuwahi kufika kileleni
πKuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume
πKuondoa tatizo la Homon Imbalance
πKuzuia maumivu ya korodani na Korodani kupanda juu
πKuimarisha na Kuongeza nguvu katika mirija ya uume
πKuupa Msuli wa Pelvic nguvu
πKuepusha uume Kusinyaa katikati ya mchezo
πKuzalisha mbegu Zenye ubora na kuzuia Ugumba/Utasa
πKusafisha kibofu Cha Mojo
πKuzuia na kutibu maambukizi kwenye Uzazi, maumivu ya mgongo na tumbo kwa mwanaume
πKuzuia Korodani kuvimba au kusinyaa
Unaweza kuwasilina nasi Kwa ushauri zaidi msaa
da na juu ya tiba sahihi
wa.me/255765163943
wa.me/255710173943

Comments
Post a Comment