UNAJUA KWA NINI UPATA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA HEDHI
Ok sawa hii hali ya kuuma tumbo wakati wa hedhi Kuna magonjwa baadhii ambayo
1.Endometriosis
Hii ni hali ambayo seli za ndani ya mfuko wa kizazi huanza kutoka nje ya mfuko wa hilo au hata sehemu zinginezo
2. Adenomyosis
Huu ni Ugonjwa wa wanawake ambapo tezi au vimbe(tumors)zinaota katika mfuko wa uzazi
Huenda akawa ana PID au Ugonjwa wa vimbe katika nyonga maana ndio husababisha maumivu ya tumbo wakati wa hedhi ngoja tuone dalili gani PID
1.maumivu chini ya kitovu huchanganyikana na maumivu ya chini ya mgongo mda mwingine japo sio sana husambaa mpaka mapajani
2.kujihisi kutapika,kichefuchefu
3.kutokwa na jasho wakati wa usiku
4.kupata choo laini/kuharisha ilaa Mara nyingi Kupata choo kigumu Sana au kukosa kabisa
5.kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi/siku kupishana pisha
Ushauri anatakiwa aende hospital akamuone daktar wa vipimo ampime halafu aje na matokeo kutoka kwa daktari tumpatie tiba ya kudumu ila aachane na vyakula vya viwandani Kama mikate sosage,pizza,baga,soda juice na chipsi n.k anatakiwa atumie vyakula Kama mboga majani,matunda aina Saba atumie ya kutosha,maziwa,maji mengi anywe hali ikiendelea aje kwaaji ya matibabu ya dawa ya vyakula tiba
Wasiliana nasi Kwa 0765163943
0710163943

Comments
Post a Comment