DALILI ZA PID MADHARA NA TIBA YAKE

 UJUE UGONJWA WA PID DALILI MADHARA NA TIBA YAKE


P I D (Pelvic Inflammatory Diseases)


Dalili za PID zinatofautiana kwa mtu mmoja hadi mwingine.


 Kwa baadhi ya wanawake dalili huwa mbaya na kwa wengine dalili huwa za kawaida, wakati mwingine wanawake hukaa na ugonjwa kwa muda mrefu bila kujua kutokana na kuchanganya dalili na magonjwa mengine.


DALILI ZA PID


1.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ambayo yanaweza kuwa upande mmmoja au pande zote kulia na kushoto


2.Sehemu za uke kuwa na ulaini sana


3.Kupata maumivu wakati watendo la ndoa wakati mwingine kupeleekea kuvuja damu wakati na baada ya tendo la ndoa na hivo kukosa tena hamu ya tendo la ndoa


4.Kuvurugika kwa hedhi


5.Kutokwa na majimaji ukeni kusiko kawaida hasa yenye rangi ya njano na kijani


6.Maumivu wakati wa kukojoa

Kupata maumivu wakati wa choo


7.Kupata damu Mara baada ye tendon au wakati wa tendo 


8.Homa kichefu chefu na nk


MADAHRA YA PID


Maambukizi kwenye njia ya uzazi husababisha athari kubwa sana kwa mwanamke,


1.Mimba kutunga nje ya kizazi


2.Mimba kuporomoka


3.Kutoshika UJAUZITO Kwa muda mrefu 


4.kupata Uvimbe kwenye kizazi


5.Ugumba 


6.Kuziba Kwa mirija 


7.Kuvuruga mzunguko WA hedhi ,Kupata maumivu wakati WA tendo 


8.Kupoteza kabisa hamu ya kushiriki tendo 


Kwa Ushauri zaidi na jinis ya kutibu 

Wasiliana nasi 


Tupo 

Arusha

Mwanza

Dodoma

Dar es salaam


Dose hutokana ukubwa wa changamoto 


Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi ni bure kabisa piga number 👇👇👇👇

0710163943


#goodafya

#pid

#dalilizapid

#madharayapid

#ugonjwawapid

Comments

Popular posts from this blog

FURSA YA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO WA TSH 150,000/=

PROSTATE RELAX