𝗝𝗜𝗡𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗔𝗧𝗔 𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗘 𝗔𝗨 𝗪𝗔𝗞𝗜𝗨𝗠𝗘

 *MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KUAMUA JINSIA*


1.Lazima mwanamke ajue mzunguko wake (menstrual cycle)siku ya 1-28


2.Lazima mzunguko wako uwe na mpangilio sahihi(unaweza ukachunguza mzunguko wako kwa miezi minne mfululizo)


3.PH ya uke lazima iwe kiwango sahihi 4-5.5(PH)inayotakiwa iwe


4.Ushirikiano kati ya mwanamke na mwanaume

Wakati wa tendo. 


JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME


Ili uweze kupata mtoto wa kiume kisayansi unashauriwa kushiriki tendo la ndoa siku ambayo yai litakuwa limetoka kama mzunguko  siku 28 na uko sahihi ni siku ya 14


Njia nyingine ya kujua yai limetoka baba anaingiza vidole viwili ukeni wakati wa asubuhi na ukikut


a uteute ujue yai limetoka kwahiyo jioni mnashiriki tendo la ndoa kwa ajili ya kupata mtoto wa kiume


KWANINI USHIRIKI TENDO LA NDOA WAKATI YAI LIMETOKA ILI KUPATA MTOTO WA KIUME?


Kisayansi chromosome Y ambayo inahusika katika kutunga mimba ya mtoto wa kiume ina spidi kubwa sana ni nyepesi na haiwezi kuishi mda mrefu kwahiyo ukishiriki tendo la ndoa wakati yai limetoka maana yake unaongeza nafasi ya kupata mtoto wa kiume


JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIKE .


Ili ufanikiwe kupata mtoto wa kike utatakiwa ushiriki tendo la ndoa siku tatu kabla ya yai kupevuka  yani hapa ni baada ya kujuwa mzunguko

KWANINI USHIRIKI TENDO LA NDOA SIKU TATU KABLA

Hii ni kwasababu  chromosome X ambazo ndo zinaunda mtoto wa kike huwa zina sifa ya kuwa na maisha marefu na kutembea taratibu hivyo yai likitolewa litakuta chromosome X ziko hai


KUPATA WA KIUME 

Kula nyama, ndizi ,Vyakula vya chumvi kama chips ila usizidishe chumvi,karanga na vyakula vingine vya potassium na sodium

Chromosomes Y zinahitaji pH ya alkane kuliko asidi ndio maana wazee waliona hili

Kuna mengi kuhusu wazee wa zamani ila nmeongelea haya ya mlo kwa maana yana mantiki kibaiolojia


MAMBO YANAYOWEZA ATHIRI KUPATA MTOTO UNAYEMTAKA

1. Kushindwa kuhesabu siku( tumia chart niliyokuwekea)

2. Mzunguko mbovu wa hedhi(Tumia Nature's way virutubisho 1oo% asilia)

3. Kutokuwa na PH sahihi ukeni tumia Nature's way food supplement virutubisho 100% au viini lishe kukuhakikishia mzunguko wako wa hedhi hautofautini tofautiani, majira yakae vizuri. kinachosababisha ni hitilafu ktk mfumo mzima wa uzazi na homoni husika


wasiliana nasi kwa Ushauri zaid 

0710 163 943

0765 163 943

Comments

Popular posts from this blog

FURSA YA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO WA TSH 150,000/=

DALILI ZA PID MADHARA NA TIBA YAKE

PROSTATE RELAX