ZIJUE BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI NA TIBA YAKE
BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI
▶️kuwashwa sehemu za siri
▶️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa
▶️Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri
▶️Kupata vidonda
▶️Kupata michubuko ukeni
▶️Maumivu wakati wa kukojoa
▶️Kutokwa na uchafu wa rangi mweupe ukeni usio wa kawaida
▶️Mdomo wa uke kuvimba na kuwa na rangi nyekundu
Wasiliana nasi Kwa
0710 163 943
0765 163 943

Comments
Post a Comment