DALILI ZA FANGASI UKENI NA TIBA YAKE
*DALILI ZA FANGASI UKENI*
1. Kuwa
shwa sehemu za siri
2. Kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana (superficial dysapareunia)
3. Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation)
4. Kupata vidonda ukeni (soreness)
5. Kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (labia minora)
6. Kupata maumivu wakati wa kukojoa
7. Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mwepesi au mzito, uchafu huu unakua kama maziwa yaliyoganda na hauna harufu kali
8. Kutokwa na harufu kali baada ya kushiriki tendo la ndoa
9. Kuchafua chupi mara kwa mara.
Wasiliana nami 🤳 kupata huduma hii acha
wa.me/255765163943
%20(31).jpeg)
Comments
Post a Comment