HORMONES IMBALANCE DALILI MADHARA NA TIBA

 HOMON IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)CHANZO KIKUBWA KUKOSA MTOTO


Chanzo, Dalili, Madhara na TIBA

WhatSap/Call +wa.me/255765163943



Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN Hivyo kupelekea wanawake wengi kushindwa kunasa mimba


 VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HORMONE


๐Ÿ‘‰Utoaji wa mimba


๐Ÿ‘‰Uwepo wa sumu mwilini.


๐Ÿ‘‰kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha.


๐Ÿ‘‰Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone


๐Ÿ‘‰mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.


๐Ÿ‘‰uzito mkubwa


๐Ÿ‘‰Msongo wa mawazo.


๐Ÿ‘‰UTI Sugu, Fangasi na PID 


๐Ÿ‘‰Kutofanya mazoezi.


๐Ÿ‘‰Matumizi ya kisasa ya uzazi wa mpango Dawa au vipandikizi vya uzazi wa mpango hutoa homone inaitwa Patroid amabayo huziba mirija ya fallopian na kuzorotesha mayai hivyo hupelekea homone za uzazi kutokuwa na uwiano pH wakati mwingine unajikuta unakosa Ute wa uzazi hamu ya mapenzi au tendo la ndoa kupotea, mvurugiko wa Hedhi , hedhi isiyoeleweka, maambukizi kwenye mirija ya uzazi na sababu nyingine nyingi japo hutofautiana mtu na mtu. 


Pia Hali hii isipotibiwa kwa kuondoa madhara ya Dawa hupelekea mtu kutoshika ujauzito na Hedhi kuvurugika


DALILI ZA KUVURUGIKA KWA HOMONI


๐Ÿ‘‰Kukoma kwa hedhi


๐Ÿ‘‰Maumivu wakati wa tendo la ndoa.


๐Ÿ‘‰Kutoshika mimba.


๐Ÿ‘‰Mzunguko wa hedhi kubadilika.


๐Ÿ‘‰Kuongezeka uzito.


๐Ÿ‘‰Kupungua hamu ya tendo la ndoa.


๐Ÿ‘‰Kupoteza kumbukumbu.


๐Ÿ‘‰Hasira za Mara kwa Mara.


๐Ÿ‘‰Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoa damu yenye mabongemabonge


๐Ÿ‘‰Uke kuwa mkavu.


๐Ÿ‘‰kutoka jasho jingi usiku.


๐Ÿ‘‰maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi


๐Ÿ‘‰๐™˜๐™๐™ช๐™ฃ๐™ช๐™จ๐™ž ๐™ฃ๐™– ๐™ซ๐™ž๐™ฅ๐™š๐™ก๐™š ๐™ช๐™จ๐™ค๐™ฃ๐™ž ๐™ซ๐™ž๐™จ๐™ž๐™ซ๐™ฎ๐™ค ๐™ž๐™จ๐™๐™–.


๐Ÿ‘‰mzio wa vyakula/Allerg kuchaguachagua vyakula.


๐Ÿ‘‰๐™†๐™ช๐™ฉ๐™ค๐™ ๐™ช๐™ค๐™ฃ๐™– ๐™จ๐™ž๐™ ๐™ช ๐™ฏ๐™– ๐™๐™š๐™™๐™๐™ž ๐™ฃ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™ ๐™–๐™ฉ๐™ž ๐™๐™–๐™ช๐™Ÿ๐™– ๐™ ๐™ค๐™ข๐™– ๐™๐™š๐™™๐™๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ก๐™– ๐™๐™–๐™ช๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™ž๐™ข๐™—๐™–๐™˜ ๐™ฌ๐™–๐™ก๐™– ๐™๐™–๐™ช๐™ฃ๐™ฎ๐™ค๐™ฃ๐™ฎ๐™š๐™จ๐™๐™ž.


๐™ฃ๐™ ......


MADHARA YA KUVURUGIKA KWA HOMONI

๐Ÿ‘‡

 ๐Ÿ‘‰kutoshika ujauzito kwa mda mrefu.


 ๐Ÿ‘‰Mimba kuharibika Mara kwa Mara.


 ๐Ÿ‘‰Kuwa mgumba.


 ๐Ÿ‘‰U.T.I Mara kwa Mara.(wengi hupuuzia)


 ๐Ÿ‘‰Uvimbe kwenye via vya uzazi wa

 mwanamke.(fibroids)


 ๐Ÿ‘‰kuziba kwa mirija ya uzazi.


๐Ÿ‘‰saratani.


NB: Dalili Mbaya ya maambukizi kwenye via vya ni kutokwa na Uchafu Sehemu za Siri hasa mweupe wenye halufu ( PID) Hii ni Hatari huwezi nasa Mimba hadi utibiwe.


TIBA

Kama umehangaika sana kutatua changamoto hii bila mafanikio Njoo tukusaidie kwa siku 30 tu kumaliza Changamoto yako.

 

TIBA ipo

 Lakini pia tunatoa Tiba ya Magonjwa ya UTI SUGU, PID ,UVIMBE(Fibroids) ,FANGAS(Vaginal Thrush), Kushindwa kunasa Mimba tena na Homonal Imbalance, Kukosa hamu ya Tendo la ndoa ๐™ฃ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™ก๐™ž๐™ค ๐™–๐™ฉ๐™๐™ž๐™ง๐™ž๐™ ๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™ฅ๐™ช๐™ฃ๐™ฎ๐™š๐™ฉ๐™ค ๐™ข๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™ข๐™ ๐™š nk...


Wasiliana nasi kwa msaada zaid

wa.me/255765163943

Comments

Popular posts from this blog

UGONJWA WA GOUT NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA

FURSA YA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO WA TSH 150,000/=

UJUE UGONJWA WA P.I.D NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE