TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE BILA UPASUAJII
TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE BILA UPASUAJII
*BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*
Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa
*CHANZO CHA BAWASIRI*
1. Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva
2. Tatizo sugu la kuharisha
3. Ujauzito
4.Uzito wa mwili kupita kiasi
5. Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa)
6. Kupata haja kubwa ngumu
7. Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
8. Kunywa pombe
9. Kula sana nyama nyekundu
10. Vidonda vya tumbo
10. Kunyanyua vitu vizito
*DALILI ZA BAWASIRI*
1 Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2 Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
3 Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
4 Kupata kinyesi chenye damu
5 Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
6 kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
7 Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mishipa ya sehemu ya haja kubwa kukwanguliwa
8 Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya utumbo (Cancer) kwasababu kile kinyama kinakaa kama kidonda
9 Uume kusinya (unapoteza urefu na ukakamavu)
*MADHARA YA BAWASIRI*
1. Upungufu wa damu mwilini
2.Kutokwa na kinyesi bila kujitambua
3. Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa
4. Kupungukia nguvu za kiume (kwa wanaume)
5. Kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu
6. Kupata tatizo la kisaikolojia
7. Kutopata ujauzito
8. Mimba kuharibika
Wasiliana nasi tuna toa bidhaa zenye uwezo wa kumaliza bawasili bila Upasuajii
wa.me/255765163943
wa.me/255710163943
#dalilizabawasili #ugonjwawabawsili #tibayabawasili #bawasili #madharayabawasili

Comments
Post a Comment