DALILI ZA VIDONDA TUMBO NA TIBA YAKE
DALILI 16 ZA VIDONDA VYA TUMBO
1 kukosa hamu ya kula au kuskia kichefu chefu
2. Maumivu ya tumbo chini au juu upande wa kushoto zaidi
3. Vichomi tumboni au kifuani
4. Mwili kukosa nguvu gafla unapo chelewa kula
5. Kuumwa kichwa mara kwa mara na kuskia kizungu zungu
6. Kiungulia
7. Kukosa choo au kupata choo kigumu na kusababisha tumbo kuwa kuvwa
8. Maumivu ya mgongo hasa upande juu kushoto
9 kukosa hamu ya tendo la ndoa
10. Kuwa na hasira hasira
11. Kuharisha au kutapika
12. Kupata hofu ya gafla bila sababu ya msingi
13. Moyo kulipuka lipuka na kuhisi presha inapanda
14. Presha hushuka au mapigo ya moyo yanapungua
15. Uziplto kupungua
16. Pumzi kupana hasa nyakati za usiku
Chukua tahadhari
Wataalamu wa tiba lishe tunatoa ushauri na tiba ya virutubisho ya kuponesha kabisa vidonda vya tumbo kikubwa ufate usha
uri na kutumia dozi kwa usahihi tuu

Comments
Post a Comment