SULUHISHO LA UGUMBA LAPATIKANA
" STOP UGUMBA @TZ "
JE UNAJUA KWA NINI HAUPATI MTOTO KWA MDA MREFU....?
Kwanza tambua kua tatizo lako ni dogo sana na linatibaka bila shaka.hata kama umekosa kwa miaka 20
Nimepata simu nyingi kuhusu maswala ya kukosa mtoto baada ya kuandika somo la " STOP P.I.D & U.T.I "
Wengi wamekua wakisema hawajapata watoto kwa mda nikaona ni vyema wafahamu hili
Ili mwanamke apate mimba, sehemu zote za mwili wake zinazohusika na uzazi zinatakiwa zifanye kazi inavyotakiwa na katika hatua zote.
.Hatua katika utengenezaji wa mimba ni kama zifuatazo.
1 .Moja kati ya ovari mbili za mwanamke kuachia yai lililokomaa.
2 .Yai hili kusafirishwa na mrija wa uzazi (fallopian tube).
.Mbegu za mwanaume kusafiri hadi kwenye cervix,kupitia tumbo la uzazi (uterus) hadi kwenye mrija wa uzazi, kulifikia yai na kulipevusha.
4 .Yai lililopevushwa husafiri kupitia mrija wa uzazi hadi kwenye tumbo la uzazi(uterus).
5 .Baada ya kusafiri Yai henda kunata kwenye ukuta wa uzazi(uterus) na kuanza kukua.
Ugumba kwa mwanamke unaweza kutokana na dosari katika hatua yoyote katika hizo nilizozitaja hapo juu na mara nyingine kutokana na dosari katika hatua zaidi ya moja.
Pamoja na kuwa kuna sababu nyingi za mwanamke kutopata mimba, lakini sababu kuu ambazo zinahusika zaidi kama zifuatazo hapa chini;
KUSHINDWA KUZALISHA MAYAI(ANOVULATION).
Hili ndilo tatizo ambalo linachangia ugumba kwa mwanamke kwa 30% lakini kwa bahati nzuri 70% ya wanawake wenye tatizo hili hupata tiba na kufanikiwa kupata watoto.
Mwanamke mwenye tatizo hili hutoa mayai mara chache au hatoi mayai kabisa. Chanzo cha tatizo huwa ni moja ya yafuatayo;
- Matatizo ya homoni(Homoni imbalance).
- Uvimbe kwenye kizazi
- Makovu kwenye ovari
- Kukoma kwa Hedhi mapema
- Matatizo ya follicle
- Ugonjwa wa P.I.D
- Mirija ya Uzazi (fallopian tube) kushindwa kufanya kazi vizuri.
Baada ya kuzisoma hizo jaribu kuwasiliana nasi tujue namna tunavyoweza kusaidiana
Was
iliana nasi kwa namba
0710163943

Comments
Post a Comment