Posts

ZIJUE BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI NA TIBA YAKE

Image
 BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI ▶️kuwashwa sehemu za siri ▶️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa ▶️Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri ▶️Kupata vidonda  ▶️Kupata michubuko ukeni ▶️Maumivu wakati wa kukojoa ▶️Kutokwa na uchafu wa rangi mweupe ukeni usio wa kawaida ▶️Mdomo wa uke kuvimba na kuwa na rangi nyekundu Wasiliana nasi Kwa  0710 163 943 0765 163 943

USIOGOPE SASA TEZI DUME INATIBIKA BILA UPASUAJI

Image
 #USHAURINATIBAJUUYATEZIDUME #TEZIDUME TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE  Tezi dume hii kitaalamu hufahamika kama (PROSTATE GLAND) - Hii ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume. Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo. Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume. Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele. Hivyo tezi hii ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume. Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda. DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:- • Kukojoa Mara kwa mara. • kubakiza mkojo kwenye kibofu. • kukojoa saana usiku. • Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali. • Kupungukiwa nguvu za kiume • UTI ya Mara kwa mara. • Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo. • Figo kujaa maji, hii ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo. • Kupoteza fahamu. •Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ...

SULUISHO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Image
 MADHARA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA TIBA YAKE   Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu.  Tatizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume.  Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba. CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME   Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na; 1.Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo 2.Kuvuta sigala na unywaji wa pombe 3.Uzito kupita kiasi na unene uliozidi 4.Ulaji ho...

π™π™„π˜½π˜Ό π™”π˜Ό 𝙏𝙀𝙕𝙄 π˜Ώπ™π™ˆπ™€ 𝙉𝙄 𝙉𝙄𝙉𝙄 π˜Ώπ˜Όπ™‡π™„π™‡π™„ π™ˆπ˜Όπ˜Ώπ™ƒπ˜Όπ™π˜Ό π™‰π˜Ό π™π™„π˜½π˜Ό π™”π˜Όπ™†π™€

Image
 #Tezidumenini IJUE TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE BILA UPASUAJI Tezi dume ni moja ya tezi ya uzazi ya kiume ambayo kila mwanaume anayo, tezi hii lipo chini ya kibofu cha mkojo na inazunguka njia ya mkojo toka kwenye kibofu kwenda kwenye uume. *NOTE:Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume nayo huongezeka ukubwa ambao unaweza kuwa wa kawaida au Saratani.* Kuna aina tatu za magonjwa ya tezi dume. •Maambukizi ya Bakteria (Prostatitis). •Kukua kwa tezi dume ambayo sio Saratani (Benign Prostatic  Hypertrophy-BPH). •Saratani ya tezi dume. *KAZI YA TEZI DUME* •Kutoa majimaji anayochanganyika na mbegu za kiume (sperms) kutengeneza manii (semen). *SARATANI YA TEZI DUME* Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vitokanavyo na saratani kwa wanaume duniani. Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 40 na kuendelea. *VISABABISHI VYA SARATANI YA TEZI DUME* Chanzo hasa cha saratani ya tezi dume hakijulikan...

MADHARA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA TIBA YAKE

Image
 MADHARA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA TIBA YAKE   Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu.  Tatizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume.  Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba. CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME   Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na; 1.Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo 2.Kuvuta sigala na unywaji wa pombe 3.Uzito kupita kiasi na unene uliozidi 4.Ulaji ho...

DALILI ZA VIDONDA TUMBO NA TIBA YAKE

Image
 DALILI 16 ZA VIDONDA VYA TUMBO 1 kukosa hamu ya kula au kuskia kichefu chefu 2. Maumivu ya tumbo chini au juu upande wa kushoto zaidi 3. Vichomi tumboni au kifuani 4. Mwili kukosa nguvu gafla unapo chelewa kula 5. Kuumwa kichwa mara kwa mara na kuskia kizungu zungu 6. Kiungulia 7. Kukosa choo au kupata choo kigumu na kusababisha tumbo kuwa kuvwa 8. Maumivu ya mgongo hasa upande juu kushoto 9 kukosa hamu ya tendo la ndoa 10. Kuwa na hasira hasira  11. Kuharisha au kutapika 12. Kupata hofu ya gafla bila sababu ya msingi 13. Moyo kulipuka lipuka na kuhisi presha inapanda 14. Presha hushuka au mapigo ya moyo yanapungua 15. Uziplto kupungua  16. Pumzi kupana hasa nyakati za usiku  Chukua tahadhari Wataalamu wa tiba lishe tunatoa ushauri na tiba ya virutubisho ya kuponesha kabisa vidonda vya tumbo kikubwa ufate usha uri na kutumia dozi kwa usahihi tuu

DALILI NA TIBA YA MADHARA YA UZAZI WA MPANGO

Image
 πŸ”΄ *MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA* πŸ‘‰πŸ»Usumbufu wa hedhi πŸ‘‰πŸ»Kuumwa kichwa mara mara πŸ‘‰πŸ»Kizunguzungu πŸ‘‰πŸ»Kichefuchefu πŸ‘‰πŸ»Kuongezeka uzito usiokuwa na faida πŸ‘‰πŸ»Kupunguza hamu ya tendo la ndoa πŸ‘‰πŸ»Kusababisha Uvimbe kwenye kizazi (fibroids)  πŸ”΄ *MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA* πŸ‘‰πŸ»Huathiri fuko la uzazi kwa ndani na kusababisha uvimbe πŸ‘‰πŸ»Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga πŸ‘‰πŸ»Kuumwa kichwa mara mara πŸ‘‰πŸ»Kupata kichefuchefu πŸ‘‰πŸ»Kutopata hedhi kwa baadhi ya wanawake πŸ‘‰πŸ»Kubadilisha mwenendo wa damu πŸ‘‰πŸ»Kuliathiri ini kidogo kidogo πŸ‘‰πŸ»Kupata kisukari πŸ‘‰πŸ»Kupata ugonjwa wa moyo πŸ‘‰πŸ»Kupooza upande mmoja wa mwili. πŸ‘‰πŸ»Kupunguza hamu ya tendo la ndoa *πŸ”΄MADHARA YA KIJITI* πŸ‘‰πŸ»Husababisha saratani za aina mbali mbali πŸ‘‰Kuchanganyikiwa kiakili πŸ‘‰πŸ»Shinikizo la damu πŸ‘‰πŸ»Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa. πŸ‘‰πŸ»Kusababisha ukavu uliopitiliza kwenye uke hivyo kusababisha vidonda πŸ‘‰πŸ»Kupunguza kwa kasi kubwa hamu ya tendo la ndoa *πŸ”΄MA...