Posts

Pata Ushauri Juu Ya Changamoto Zote aina Ya Vyakula na Jinsi Ya kuishi ili kuepuka Mgonjwa Mbali Mbali

Wasiliana Nasi

Email: nmdabida9@gmail.com  WhatsApp 0765 163 943 Call/Sms     0765 163 943 Bonyeza

FURSA YA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO WA TSH 150,000/=

Image
 Usiendelee kutafuta kazi Kwa Mtaji Mdogo Tu Wa Tsh 150,000/= Unaweza kumilik Biashara Kubwa njoo Utajifunza Jinsi utakavyo milik Biashara Kubwa ya kimataifa na Yenye faida kubwa pia ,  Jiulize hili Swali Je ? ni Biashara gani Unaweza kumilik Kwa Mtaji WA Tsh 150,000/= kama unaisi ipo anzisha kama umekosa jibu na upo Arusha fika ofisni utafunzwa Bure ukielewa una anza kazi au Tupigie Kwa 0765 163 943 Ratiba Ya Madarasa  Kila Juma pili saa 15:00 Mchana J3-J5 Saa 10:30  Maalii ni Condo Hotels  Kumbuka hulipii hata Mia Unafunzwa tu ukielewa unaanza Biashara   Tupigie au Kwa 0765 163 943 Au Chat Na WhatsApp

NMN DUO RELEASE CAPSULES

Image
 Ipate Sasa Kwa Gharama Nafuu Wasiliana nasi kwa  0710 163 943 0765 163 943

PROSTATE RELAX CAPSULES

Image
 

TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE BILA UPASUAJII

Image
 TIBA YA KUDUMU YA BAWASIRI {NDANI NA NJE BILA UPASUAJII *BAWASIRI {HEMORRHOIDS/PILE*   Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa  *CHANZO CHA BAWASIRI* 1. Tabia ya kuketi sehemu moja kwa muda mrefu mfano; madereva 2. Tatizo sugu la kuharisha 3. Ujauzito 4.Uzito wa mwili kupita kiasi 5. Kufanya ngono kupitia tundu la haja kubwa (kulawitiwa) 6. Kupata haja kubwa ngumu 7. Kua na mgandamizo mkubwa tumboni 8. Kunywa pombe 9. Kula sana nyama nyekundu 10. Vidonda vya tumbo 10. Kunyanyua vitu vizito  *DALILI ZA BAWASIRI* 1 Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa 2 Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa 3 Kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa 4 Kupata kinyesi chenye damu 5 Kupata maumivu makali wakati wa  kujisaidia haja kubwa 6 kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa  7 Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa na kusababisha mish...

UJUE UGONJWA WA P.I.D NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE

Image
 UJUE UGONJWA WA P.I.D NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE   PID( Pelvic Inflammatory Disease)  Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS)   Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa P.I.D ni NEISSERIA GONORNOAE na CHLAMYDIA TRACHOMATIC WANAMKE ANAUPATAJE UGONJWA WA P.I.D   1.Kupitia ngono zembe 2.Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja 3.Kufanya mapenzi bila kutumia kinga 4.Kupitia magonjwa ya zinaa hususani kaswande na kisonono 5.Kupitia kunyonywa ukeni mara kwa mara 6.Utoaji wa mimba na kutosafishwa vizuri baada ya kutoa mimba 7.Kuweka vitu ukeni ili kuufanye uke ubane au kumvutia mpenzi wako 8.Kutumia dawa na njia za kuzuia mimba(vijiti na sindano) 9.Kuwa na U.T.I. sugu au fungus ya muda mrefu DALILI ZA P.I.D 1.Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri yaweza ukawa njano, mweupe au maziwa 2.Uke kutoa harufu...

DALILI ZA KUVIMBA KWA VIFUKO VYA MAYAI YA UZAZI (OVARIAN CYST

Image
 DALILI ZA KUVIMBA KWA VIFUKO VYA MAYAI YA UZAZI (OVARIAN CYST ) Uvimbe kwenye vifuko vya mayai ya mwanamke (ovary), hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanayozungukwa na kuta nyembamba ndani ya vifuko vya mayai ya mwanamke. Uvimbe huu hutokea kwa wanawake wa umri wowote ule na mara nyingi huonekana kwa wanawake waliofikia kikomo cha umri wa kupata ujauzito. Sababu/ Mambo hatarishi yanayopelekea vimbe katika vifuko vya mayai: . . ➢ Matatizo ya homoni hali hii hutokana na matumizi ya vidonge vinavyotumiwa kwa ajili ya kupevusha mayai bila ushauri wa daktari. . . ➢ Ujauzito wakati mwingine uvimbe unaojitokeza huweza kukaa kwa kipindi cha ujauzito. . . ➢ Endometriosis hii huwa ni hali inayosababisha seli za ukuta wa tumbo la kizazi kuota nje ya kifuko chako cha kizazi. Baadhi ya tishu zinaweza kushikamana na vifuko vyako vya mayai na kutengeneza uvimbe. . . ➢ Kutotibu maambukizi katika mfumo wa uzazi na mkojo kama maambukizi ya bakteria kama vile UTI, fangasi, magonjwa ya zinaa kama...

✍️HIZI NI DALILI 8 ZINAZOENYESHA UMEPUNGUKIWA NA NGUVU ZA KIUME

Image
 MWANAUME,😭😭😭 BONYEZA HAPA ✍️HIZI NI DALILI 8 ZINAZOENYESHA UMEPUNGUKIWA NA NGUVU ZA KIUME . 1) Ukienda safari moja mwili wachoka alafu unahisi usingizi.  (2) Sehemu za siri zinasinyaa taratibu baada ya goli la Kwanza. 3) Mwili unahisi ganzi pamoja Na sehemu nyeti. 4) Hamu inakata gafla baada ya kutoa manii ( semens) 5) Nyeti zinasimama vizuri lakini ukitaka kuingiza Kwa mwanamke zinasinyaa. Hapa wengi hudhani wamerogwa. 6) Ukishindwa kurudia mara ya pili baada ya goli la Kwanza. Machine inakata moto haisimami tena hata ufanyeje inazidi kulala. 7) Machine kulala ndani ya nyeti za mwanamke wakati upo katikati ya mechi, mzigo unalala gafla Na kulegea ndani Kwa ndani.  8) Uume hurudi ndani na kuwa kama wa mtoto PATA SURUHISHO LA TATIZO HILO SASA KWA TIBA ILOYO BORA ZAIDI NA YA UHAKIKA ✍️KWA MAWASILINO Zaid+255710 163 943 Au  BONYEZA HAPA AU TUMA UJUMBE SMS KWA NAMBA HIZO

FAHAMU KUUSU NGUVU ZA KIUME

Image
 FAHAMU KUHUSU NGUVU ZA KIUME wasiliana nasi Kwa ushauri zaidi wa.me/255765163943 Vyanzo Vipo Vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na; ✍️Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo ✍️Kuvuta sigala na unywaji wa pombe ✍️Uzito kupita kiasi na unene uliozidi ✍️Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi ✍️Kisukari ✍️Kuwa na mawazo na wasiwasi ✍️Matumizi ya madawa mbalimbali ✍️Umri hasa wazee ✍️Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili ✍️Kuwa na tatizo la kibofu ✍️Tabia za kujichua kwa mda mrefu ✍️Kutopata usingizi kamili ✍️Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME ✍️Kuwahi kufika kileleni ...

𝗝𝗜𝗡𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗔𝗧𝗔 𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗘 𝗔𝗨 𝗪𝗔𝗞𝗜𝗨𝗠𝗘

Image
 *MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KUAMUA JINSIA* 1.Lazima mwanamke ajue mzunguko wake (menstrual cycle)siku ya 1-28 2.Lazima mzunguko wako uwe na mpangilio sahihi(unaweza ukachunguza mzunguko wako kwa miezi minne mfululizo) 3.PH ya uke lazima iwe kiwango sahihi 4-5.5(PH)inayotakiwa iwe 4.Ushirikiano kati ya mwanamke na mwanaume Wakati wa tendo.  JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME Ili uweze kupata mtoto wa kiume kisayansi unashauriwa kushiriki tendo la ndoa siku ambayo yai litakuwa limetoka kama mzunguko  siku 28 na uko sahihi ni siku ya 14 Njia nyingine ya kujua yai limetoka baba anaingiza vidole viwili ukeni wakati wa asubuhi na ukikut a uteute ujue yai limetoka kwahiyo jioni mnashiriki tendo la ndoa kwa ajili ya kupata mtoto wa kiume KWANINI USHIRIKI TENDO LA NDOA WAKATI YAI LIMETOKA ILI KUPATA MTOTO WA KIUME? Kisayansi chromosome Y ambayo inahusika katika kutunga mimba ya mtoto wa kiume ina spidi kubwa sana ni nyepesi na haiwezi kuishi mda mrefu kwahiyo ukishiriki tendo la ndoa...

𝗝𝗘 𝗕𝗔𝗗𝗢 𝗛𝗨𝗝𝗔𝗜𝗧𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗠𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗡𝗔𝗣𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗞𝗨𝗔 𝗠𝗔𝗠𝗔

Image
 Embu Niambie, Utajisikiaje na wewe ukaitwa mama flani? Au kuongeza Mtoto mwingine🤰🏽🤱🥰 Furaha yangu DrThabith, ni kuona Kila Mwanamke Ni MAMA🤱,  Bado nahitaji kupokea shuhuda zaidi ya 5000+ Mwaka huu PEKEE. Una nafasi ya kuwa mmoja wapo, Lakini huenda labda Wewe ndiye Huyu?!👇🏾 ✅ Imeshindikana Kabisa kubeba Ujauzito. ✅ Unatokwa na uchafu, harufu mbaya sehemu za Siri. ✅ Mzunguko wako wa hedhi haueleweki Tena. ✅ Unasumbuliwa P.I.D Fangasi, na U.T.I sugu. ✅ Unahisi Maumivu Makali wakati wa Tendo la Ndoa au kukosa hamu ya tendo Kabisa. ✅ Maumivu wakati wa kukojoa. ✅ Kiuno kuuma Sana wakati wa hedhi. ✅ Maumivu chini ya kitovu. ✅ Nimepima vipimo vyote vya Uzazi sina Tatizo lolote lakini sipati Mimba!  ✅ Unahisi Maumivu wakati wa tendo la Ndoa, Ukeni panakuwa pakavu Sana. ✅ Mimba kuharibika mara kwa mara kabla ya muda wa kujifungua  Usijali Kabisa, HABARI YAKO NJEMA HII HAPA👇🏾 ▶️ Uzazi Special Offer:- Hii ni special offer maalumu kwako mwanamke/ Dada, Unayeangaika N...

UNAJUA KWA NINI UPATA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA HEDHI

Image
 Ok sawa hii hali ya kuuma tumbo wakati wa hedhi Kuna magonjwa baadhii ambayo  1.Endometriosis     Hii ni hali ambayo seli za ndani ya mfuko wa kizazi huanza kutoka nje ya mfuko wa hilo au hata sehemu zinginezo 2. Adenomyosis   Huu ni Ugonjwa wa wanawake ambapo tezi au vimbe(tumors)zinaota katika mfuko wa uzazi    Huenda akawa ana PID au Ugonjwa wa vimbe katika nyonga maana ndio husababisha maumivu ya tumbo wakati wa hedhi ngoja tuone dalili gani PID   1.maumivu chini ya kitovu huchanganyikana na maumivu ya chini ya mgongo mda mwingine japo sio sana husambaa mpaka mapajani    2.kujihisi kutapika,kichefuchefu    3.kutokwa na jasho wakati wa usiku    4.kupata choo laini/kuharisha ilaa Mara nyingi Kupata choo kigumu Sana au kukosa kabisa    5.kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi/siku kupishana pisha Ushauri anatakiwa aende hospital akamuone daktar wa vipimo ampime halafu aje na matokeo kutoka kwa daktari tumpatie...

APONA P. I.D BAADA YA KUTESEKA MIAKA MINGI

Image
 UJUE UGONJWA WA PID DALILI MADHARA NA TIBA YAKE P I D (Pelvic Inflammatory Diseases) Dalili za PID zinatofautiana kwa mtu mmoja hadi mwingine.  Kwa baadhi ya wanawake dalili huwa mbaya na kwa wengine dalili huwa za kawaida, wakati mwingine wanawake hukaa na ugonjwa kwa muda mrefu bila kujua kutokana na kuchanganya dalili na magonjwa mengine. DALILI ZA PID 1.Maumivu ya tumbo chini ya kitovu ambayo yanaweza kuwa upande mmmoja au pande zote kulia na kushoto 2.Sehemu za uke kuwa na ulaini sana 3.Kupata maumivu wakati watendo la ndoa wakati mwingine kupeleekea kuvuja damu wakati na baada ya tendo la ndoa na hivo kukosa tena hamu ya tendo la ndoa 4.Kuvurugika kwa hedhi 5.Kutokwa na majimaji ukeni kusiko kawaida hasa yenye rangi ya njano na kijani 6.Maumivu wakati wa kukojoa Kupata maumivu wakati wa choo 7.Kupata damu Mara baada ye tendon au wakati wa tendo  8.Homa kichefu chefu na nk MADAHRA YA PID Maambukizi kwenye njia ya uzazi husababisha athari kubwa sana kwa mwanamke, 1.M...

SULUHISHO LA UGUMBA LAPATIKANA

Image
 " STOP UGUMBA @TZ " JE UNAJUA KWA NINI HAUPATI MTOTO KWA MDA MREFU....?       Kwanza tambua kua tatizo lako ni dogo sana na linatibaka bila shaka.hata kama umekosa kwa miaka 20      Nimepata simu nyingi kuhusu maswala ya kukosa mtoto baada ya kuandika somo la " STOP P.I.D & U.T.I "    Wengi wamekua wakisema hawajapata watoto kwa mda nikaona ni vyema wafahamu hili         Ili mwanamke apate mimba, sehemu zote za mwili wake zinazohusika na uzazi zinatakiwa zifanye kazi inavyotakiwa na katika hatua zote.     .Hatua katika utengenezaji wa mimba ni kama zifuatazo. 1 .Moja kati ya ovari mbili za mwanamke kuachia yai lililokomaa. 2 .Yai hili kusafirishwa na mrija wa uzazi (fallopian tube).    .Mbegu za mwanaume kusafiri hadi kwenye cervix,kupitia tumbo la uzazi (uterus) hadi kwenye mrija wa uzazi, kulifikia yai na kulipevusha. 4 .Yai lililopevushwa husafiri kupitia mrija wa uzazi hadi kwenye tumb...

ZIJUE BAADHI YA DALILI ZA U. T. I NA TIBA YAKE

Image
 𝗭𝗜𝗝𝗨𝗘 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔  𝗨.𝗧.𝗜 𝗡𝗔 𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗞𝗘  🔵Kujisikia kukojoa muda wote (𝗸𝘂𝗸𝗼𝗷𝗼𝗮 𝗠𝗮𝗿𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗠𝗮𝗿𝗮) 🔵kuchoka sanaa 🔵Mkojo kutoa harufu 🔵Mkojo wa rangi 🔵Homa Kali 🔵kichefuchefu 🔵kutapika 𝗠𝗮𝗿𝗮 𝘂𝗼𝗻𝗮𝗽𝗼 𝗱𝗮𝗹𝗶𝗹𝗶 𝗵𝗶𝘇𝗶 𝘄𝗮𝗶 𝘁𝗶𝗯𝗮 𝗺𝗮𝗽𝗲𝗺𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝗶 𝗺𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗲 𝗻𝗶 𝗺𝗮𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗺𝗻𝗼 𝗪𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮𝘀𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗧𝗶𝗯𝗮 𝗻𝗮 𝗨𝘀𝗵𝗮𝘂𝗿𝗶 𝗽𝗶𝗴𝗮 : 0765 163 943 0710 163 943

BAADHI YA DALILI ZA HORMONES IMBALANCE NA TIBA YAKE

Image
 B AADHI YA DALILI ZA HORMONE IMBALANCE  (mvurugiko wa vichocheo) 🔵ukavu ukeni 🔵Maumivu wakati wa tendo la ndoa 🔵Kutoa jasho jingi usiku 🔵Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi 🔵Kukosa hamu kabisa ya tendo la ndoa 🔵Hedhi isiyo na mpangilio na n.k 🔥Kama una dalili kati ya hizo chukuwa hatua sasa 🔴Wasiliana nasi upate Ushauri Zaidi na tiba 🔴Kwanini unateseka na tatizo linalodhibitika? Wasiliana nasi kwa Ushauri na Tiba  0710 163 943 0765 163 943

ZIJUE BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI NA TIBA YAKE

Image
 BAADHI YA DALILI ZA FANGASI UKENI ▶️kuwashwa sehemu za siri ▶️Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa ▶️Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri ▶️Kupata vidonda  ▶️Kupata michubuko ukeni ▶️Maumivu wakati wa kukojoa ▶️Kutokwa na uchafu wa rangi mweupe ukeni usio wa kawaida ▶️Mdomo wa uke kuvimba na kuwa na rangi nyekundu Wasiliana nasi Kwa  0710 163 943 0765 163 943

USIOGOPE SASA TEZI DUME INATIBIKA BILA UPASUAJI

Image
 #USHAURINATIBAJUUYATEZIDUME #TEZIDUME TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE  Tezi dume hii kitaalamu hufahamika kama (PROSTATE GLAND) - Hii ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume. Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo. Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume. Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele. Hivyo tezi hii ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume. Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda. DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:- • Kukojoa Mara kwa mara. • kubakiza mkojo kwenye kibofu. • kukojoa saana usiku. • Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali. • Kupungukiwa nguvu za kiume • UTI ya Mara kwa mara. • Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo. • Figo kujaa maji, hii ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo. • Kupoteza fahamu. •Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ...

SULUISHO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Image
 MADHARA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA TIBA YAKE   Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu.  Tatizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume.  Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba. CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME   Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na; 1.Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo 2.Kuvuta sigala na unywaji wa pombe 3.Uzito kupita kiasi na unene uliozidi 4.Ulaji ho...